Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akimfariji Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango kufuatia kifo cha Dada yake Marehemu Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara
baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dada wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Marehemu Bi. Maria
Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala
mkoani Tabora
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt.
Selemani Jafo akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dada wa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
Marehemu Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika
Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama
akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dada wa Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Marehemu Bi. Maria
Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala
mkoani Tabora
No comments:
Post a Comment