Habari za Punde

Mhe Simai ashiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusiana na Urithi wa Dunia nchini Saudi Arabia

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe Simai Mohammed Said akiendelea kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusiana na Urithi wa Dunia huko nchini Saudi Arabia. Katika ziara hio ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania Dr Hassan Abbas pamoja na, Mkurugenzi wa Mamlaka na Hifadhi ya Uendelezaji wa Mji Mkongwe pamoja na Tume ya Taifa ya UNESCO ya Tanzania.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.