Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Ujenzi wa Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi iliyopo Kilangala Mkoani humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi katika Kijiji cha Kilangala Mkoani
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Mchinga Mhe.
Salma Kikwete mara baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya
Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake
katika Mikoa ya Kusini
Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi wakiimba Wimbo Maalum wakati wa mapokezi
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Shuleni
hapo katika Kijiji cha Kilangala hapo
Mkoani Lindi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Mtaalamu kutoka
katika moja ya Vyumba vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni
muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini
Wananchi wa Mkoa wa Lindi
wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mitwero Mkoani Lindi ikiwa ni
muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini
Wananchi wa Mkoa wa Lindi
wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mitwero Mkoani Lindi ikiwa ni
muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini
No comments:
Post a Comment