Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Katiba Baraza la Maulid Kitaifa Dodoma

Waziri Mkuu wav Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Kassim Majaliwa akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajabu Shaban  alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid kitaifa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid kitaifa lililofanyika kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma,

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid kitaifa lililofanyika kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid  lililofanyika kitaifa kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid  lililofanyika kitaifa kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akiagana na viongozi baada ya kuhutubia akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid  lililofanyika kitaifa  kwenye Kituo cha  Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 28, 2023. Kutoka kushoto ni Mkuu wa WIlaya ya Chamwino, Gift Msuya, Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Mbanga na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.