Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Premier League 2023-2024 Kati ya Chipukizi na Kundemba Uwanja wa Mao Zedung

 

Mshambuliaji wa Timu ya Kundemba akimiliki mpira huku beki wa Timu ya Chipukizi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Premier League 2023-2024 mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.