Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikaribishwa Ikulu Jijini Lusaka na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde tarehe 25 Oktoba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikaribishwa Ikulu Jijini Lusaka na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji
wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili Ikulu ya
Lusaka nchini Zambia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe.
Hakainde Hichilema wakati wakielekea kwenye mazungumzo katika Ikulu ya Lusaka
nchini Zambia
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika
mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Zambia ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe.
Hakainde Hichilema katika Ikulu ya Lusaka.
No comments:
Post a Comment