RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiondoa pazia na Mkuu wa Chuo cha ZU Mhandisi Dkt.Abdulqadir Othman
Hafiz (kushoto) kukifungua Kituo cha
kujisomea cha Masafa katika Chuo cha ZU Kibele Tunguu Mkoa
wa Kusini Unguja , wakati wa hafla ya Mahafali ya 21 ya chuo hicho
yaliyofanyika leo 5-12-2023.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisoma maelezo ya jiwe la msingi la ufunguzi wa Kituo cha Kujisomea cha
Masafa marefi, katika Chuo cha ZU Kibele
Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, akiwa na Mkuu wa Chuo cha ZU Mhandisi Dkt.
Abdulqadil Othman Hafiz,wakati wa hafla ya Mahafali ya 21 ya Chuo hicho
yaliyofanyika leo 5-12-2023 katika
viwanja vya Chuo hicho Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Kujisomea cha Masafa Marefu katika
Chuo cha ZU Zanzibar Kibele Tunguu
Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati wa Mahafali ya 21 ya Chuo hicho
yaliyofanyika leo 5-12-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo cha ZU Mhandisi
Dkt..Abdulqadil Othman Hafiz na Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, alimsikiliza Msaidizi na Mratibu wa Kituo cha Kisomo cha Masafa marefu wa Chuo cha ZU Kubele
Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, Muhusin Mustafa, baada ya kukifungua Kituo cha
Kujisomea cha Masafa Marefu katika Chuo hicho, wakati wa hafla ya Mahafali ya
21 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2023
katika viwanja vya Chuo Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akihutubia katika hafla ya 21 ya Chuo cha ZU Zanzibar Kibele Tunguu Wilaya
Kati Unguja Mkoa wa Kusini Unguja leo 5-12-2023.
WAZAZI na Wanafamilia wa
Wahitimu wa Chuo cha ZU Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Unguja wakifuatilia hafla
ya Mahafali ya 21 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo leo
5-12-2023
No comments:
Post a Comment