RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuufungua Uwanja wa Amaan
Zanzibar, baada ya kukamilika ujenzi wake, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika
leo 27-12-2023, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua Uwanja wa Amaan
Zanzibar baada ya kukamilika ujenzi wake, hafla hiyo iliyofanyika leo
27-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi
Matikufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam
Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na
(kulia kwa Rais) Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar
Mhe.Tabia Maulid Mwita na Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Tanzania
Mhe.Dkt. Damas Ndumbaro.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kukamilika ujenzi wake, ufunguzi huo uliofanyika leo 27-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANANCHI wa Zanzibar wakishangilia wakati wa
hafla ya Ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kukamilika ujenzi wake,uliofunguliwa
leo 27-12-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamra shamra za kuadhimisha Miaka 60 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment