Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania. Mhe David Concar leo Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
ROBERT PREVOST PAPA MPYA KANISA KATOLIKI
-
Robert Kardinali Prevost ni mzaliwa wa Chicago nchini Marekani, na hadi
kuchaguliwa kwake alikuwa akihudumu kama mkuu wa Dicastery wa kanisa kwa
Maaskofu.
...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment