Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Msapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amezindua Mradi wa Barabara wa Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba Ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Mradi wa Barabara Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, mradi huo uliozinduliwa leo 23-4-2024,ikiwa ni shamrashara za  sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi wa ZIPA Pemba na Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara  maeneo huru ya Uchumi Micheweni Mhandisi Suleiman Abdallah Ali akitowa maelezo ya Mradi huo wakati wa Uzinduzi wa wa Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni shamrashara za  sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,uzinduzi huo uliofanyika leo 23-4-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na Mkurugenzi wa IRIS Mr.Suleiman,uzinduzi huo uliofanyika leo 23-4-2024




























 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.