Habari za Punde

Matukio ya Picha ya Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Akihitimisha Hoja ya Bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihitimisha hoja ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake, na mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihitimisha hoja ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake, na mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Mheshimiwa Jenista Mhagama, pamoja na Mawaziri wengine baada ya kuhitimisha hoja ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake, na mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Viti Maalum Ester Matiko, mara baada ya kuhitimisha hoja ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake, na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga mara baada ya kuhitimisha hoja ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake, na mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa Katika picha ya pamoja na Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi na Idara wa Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kuhitimisha hoja ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake, na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.