RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya
Muungano Cup kwa Nahodha wa Timu ya Simba Mohammed Hussein, baada ya kuifunga
Timu ya Azam katika mchezo wa Fainali uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan
Complex Zanzibar,Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAHITAJI MADAWATI 7,000 KATIKA SHULE ZA MSINGI NA
SEKONDARI- DED SELENDA
-
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo
HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani inakabiliwa na changamoto
ya upungufu wa madawati 7,000 katika shule ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment