RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa
Mtoto wa Marehemu aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Waziri wa
Afya Zanzibar Mzee Burhani Saadat Haji. Saadat Burhani Saadat alipowasili
katika viwanja vya Msikiti wa Maisara kwa ajili ya Sala ya Maiti iliyofanyika
katika msikiti huo leo 9-4-2024 na kuzikwa Kijijini kwao Kiembesamaki Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali na
Wananchi katika kisomo cha hitma kabla ya kufanyika kwa Sala ya Maiti ya kumuombea
aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar na Waziri wa SMZ Marehemu Burhani Saadat Haji, iliyofanyika
katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 9-4-2024 na kuzikwa
Kijijini kwao Kiembesamaki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijuika na Viongozi na Wananchi katika kubeba
jeneza likiwa na mwili ya Marehemu Burhan Saadat Haji, aliyewahi kuwa
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Waziri wa SMZ, Ibada ya Sala ya Maiti
iliyofanyika katika Msikiti wa Maisara leo 9-4-2024, na kuzikwa Kijijini kwao
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali na
Wananchi katika Sala ya Maiti,kumsalia aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la
Kikwajuni Zanzibar na Waziri wa SMZ, Marehemu Burhan Saadat Haji, iliyoongoza
na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, iliyofanyika katika Msikiti
wa Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 9-4-2024 na kuzikwa Kijijini kwao
Kiembesamaki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali na
Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la
Kikwajuni Zanzibar na Waziri wa SMZ, Marehemu Burhan Saadat Haji,ikisomwa na Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti,
iliyofanyika katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Unguja leo 9-4-2024 na
kuzikwa Kijijini kwao Kiembesamaki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka udongo katika kaburi likiwa na
mwili wa Marehemu Burhan Saadat Haji, wakati wa maziko ya aliyewahi kuwa
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar na Waziri wa SMZ Marehemu Burhan
Saadat Haji, yaliyofanyika kijijini kwao Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
leo 9-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali na
Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea aliyewahi kwa Mwakilishi wa Jimbo la
Kikwajuni na Waziri wa SMZ Marehemu Burhan Saadat Haji, yaliyofanyika Kijijini
kwao Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 9-4-2024.
No comments:
Post a Comment