Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amtakia Heri ya Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Mzee Malecela

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela zawadi ya kikombe  alipokwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni jijini Dodoma kumtakia heri   ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa , Aprili 19, 2024. Katikati ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela zawadi  alipokwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni  jijini Dodoma kumtakia heri   ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, Aprili 19, 2024.Katikati ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela  alipokwenda  nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni jijini Dodoma kumtakia heri  ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, Aprili 19, 2024. Kulia ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.