Habari za Punde

CCM Yamtangaza Mgombea Wake Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kwahani Zanzibar Ndg Khamis Yusuf Mussa (Pele)

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ,Itikadi na Uenezi Ndg.Amos Gabriel Makalla akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliuoko Zanzibar kughusiana na Kikao Maalu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo Zanzibar na kuongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.