Habari za Punde

Jumamosi 25-5-2024 Zimeokotwa Fedha Kwa Yoyote Aliyepoteza

 Asalam alaykum ! 

Siku ya Jumamosi 25/5/2024 zimeokotwa fedha nyingi kiasi, nje ya msikiti wa Mwanyanya baada ya Sala ya magharibi, Aliepoteza awasiliane na imamu wa msikiti  wa Mwanyanya pamoja na ushahidi. 

Tafadhali eneza taarifa hii katika makundi mbalimbali  haraka!

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.