Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 15-5-2024 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika ukumbi kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 15-5-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika leo 15-5-2024

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 15-5-2024
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.