Habari za Punde

MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM RAIS WA AWAMU YA NNE DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 54 DURU YAKWANZA YA CHUO HICHO KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR LEO MEI 31, 2024.

Hongereni sana",anasema Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuwahudhurisha katika Mahafali ya 54 ya Chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Machi 31, 2024.

Wahitimu wa Shahada ya Udaktari wakila kiapo cha maadili mbele ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Mahafali ya 54 ya Chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Machi 31, 2024.

Jumla ya wahitimu 624 wamehudhurishwa kwenye mahafali haya, ikiwa ni pamoja na Shahada za Uzamivu 53 (wanawake 14, wanaume 39), Shahada ya Umahiri 395 (wanawake 161, wanaume 395), Stashahada za Uzamili (wanawake 3, wanaume 6), Shahada ya Awali 159 (wanawake 159, wanaume 100), Stashahada 4 (wanawake 2, wanaume 2) na Astashahada 4 (wanawake 3, mwanaume 1).


PICHA NA ISSA MICHUZI

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.