Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Chirag Panna wakati akikagua kazi mbalimbali za kuunganisha magari kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam 

Taswira ya magari mbalimbali yaliyounganishwa katika Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa hicho Chirag Panna mara baada ya kukagua shughuli mbalimbali Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi pamoja na Wananchi wa Kigamboni na maeneo jirani mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam 

Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.