Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta
kitambaa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107)
iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika
Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe
kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa
kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika katika eneo
la Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua
Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa
kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Wananchi wa Matai katika Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa mara baada ya kufungua
barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107), tarehe 16 Julai, 2024.
Wananchi wa Matai, Kalambo Mkoani Rukwa
wakiwa kwenye mkutano wa hadhara pamoja na hafla ya ufunguzi wa Barabara ya
Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami
katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.
No comments:
Post a Comment