Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan pamoja mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi Watembelea Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam  (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam  (Sabasaba)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakiangalia baadhi ya bidhaa zilizopo katika Mabanda  mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam  (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakitembelea Mabanda  mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam  (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.