RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la Mji Mkongwe wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Hifadhi ya Mji Mkongwe Zanzibar (JUHIMKO)Dkt. Maryam Jaffar Ismail, baada ya kumaliza mkutano wake wa Uongozi wa Taasisi ya “International National Trust Organisation” kutoka Nchini Uingereza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa msafara wa Taasisi ya “International National Trust Organisation” kutoka Nchini Uingereza.Meneja Mradi David Simpson (kulia kwa Rais)mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2024,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment