Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akinyoosha Mkono kuashiria jambo wakati akizungumza na Wanavikundi wanaojishughulisha na Uvuvi na Mwani waliopatiwa Boti na Vifaa mbalimbali katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akimkabidhi Mwanachama wa Kikundi cha Wajaliwao kinacho jishughulisha na Shughuli za Uvuvi na Mwani Shauri Juma Shauri Boti pamoja na Vifaa kwa ajili ya kuwasaidia katika kazi zao katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Shaaban Ali Othman akinyoosha Mkono kuashiria jambo wakati akizungumza na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Mkono kwa Mkono awamu ya Pili iliofanyika Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
No comments:
Post a Comment