Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Stephen Wasira, mara baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 18 Januari, 2025.(PICHA NA CCM )
DKT. CHARLES STEPHEN KIMEI ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE AWAMU YA PILI -
VUNJO
-
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amechukua
fomu ya kuwania ubunge awamu ya pili katika jimbo hilo zilizotolewa ofisi
za C...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment