Habari za Punde

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA AFDB UTAKAOMCHAGUA RAIS MPYA WA BENKI HIYO

akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), kando ya Mkutano Mkuu wa mwaka 2025 ambao utakuwa wa 60 wa Bodi ya Magavana wa ADB na wa 51 kwa ADF, unaonza leo tarehe 26 hadi 30 Mei 2025 katika Hoteli ya Sofitel Ivoire, Abidjan, Côte d’Ivoire, na utajumuisha uchaguzi wa Rais na Wakurugenzi Watendaji wa Taasisi hiyo baada ya Rais wake wa sasa, Dkt. Akwinumi Adesina, kumaliza muda wake.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Abidjain, Ivory Coast)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.