Afisa Uvuvi Mkuu kutoka
Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Fainahappy Kimambo akifungua Mkutano wa pamoja wa Maafisa wanaosimamia utekelezaji
wa Itifaki ya Montreal inayohusu udhibiti wa kemikali zinazomong’onyoa Tabaka
la Ozoni na Maafisa Forodha wa Nchi nane za Afrika unaofanyika jijini Arusha
leo tarehe 7 Mei, 2025.
Mwakilishi kutoka Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa Bw. Patrick Salifu akitoa neno la ukaribisho
wakati wa Mkutano wa pamoja wa Maafisa wanaosimamia utekelezaji
wa Itifaki ya Montreal inayohusu udhibiti wa kemikali zinazomong’onyoa Tabaka
la Ozoni na Maafisa Forodha wa Nchi nane za Afrika unaofanyika jijini Arusha
leo tarehe 7 Mei, 2025.
Washiriki wa Mkutano wa pamoja wa Maafisa wanaosimamia utekelezaji

la Ozoni na Maafisa Forodha wa Nchi nane za Afrika wakiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika jijini Arusha leo tarehe 7 Mei, 2025.
No comments:
Post a Comment