Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Ameongoza Kikao cha 13 Cha Kamati Kuu ya Taifa ya SENSA ya Watu na Mkaazi ya Mwaka 2022

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya  Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka. 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi na kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hamza Hassan Juma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya  Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu  kwenye viwanja vya Ofisi ya Hazina baada ya kuongoza  Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka. 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.