Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Viwanja vya Nzuguni
Jijini Dodoma kwaajili ya Ufunguzi wa maonesho ya Nanenane Kitaifa leo tarehe
01 Agosti 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya
Kilimo (TADB) Frank Nyabundege kuhusu miradi mbalimbali inayofadhiliwa na Benki
hiyo wakati Makamu wa Rais akikagua mabanda ya maonesho katika ufunguzi wa
maonesho ya Nanenane Kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Tarehe 01 Agosti 2025.

akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Zana na uongezaji Thamani Wizara
ya Kilimo Bi. Anna Mwangamilo wakati alipotembelea banda la zana za kilimo
katika ufunguzi wa maonesho ya Nanenane Kitaifa yanayofanyika Viwanja vya
Nzuguni Jijini Dodoma. Tarehe 01 Agosti 2025.

akitoa maelekezo kwa Maafisa Kilimo kuhusu kuwasimamia vema wakulima wakati
alipotembelea shamba darasa la Wilaya ya Chamwino katika ufunguzi wa maonesho
ya Nanenane Kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma. Tarehe 01
Agosti 2025.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akikagua banda la mifugo la Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa ufunguzi wa
maonesho ya Nanenane Kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Tarehe 01 Agosti 2025.
No comments:
Post a Comment