Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomba Dua pamoja na Wasaidizi wake Ikulu Jijini Dar es Salaam kabla ya kuelekea katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha hicho tarehe 28 Agosti 2025.
MANISPAA YA UBUNGO YATENGA MILIONI 28 KWA AJILI UTEKELEZAJI WA PJT-MMMAM
-
NA MWANDISHI WETU
MANISPAA ya Ubungo imetengea bajeti ya fedha zaidi ya Sh milioni 28,000,000
kwa ajili ya utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Malezi, Maku...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment