Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Dr. Abdallah Juma Sadala (Mabodi) aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Mkoani Dodoma. tarehe 22 Agosti 2025.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atoa
Wito kwa Watunza Kumbukumbu Nchini *Awataka wazingatie maadili, wadumishe
uadilifu na kulinda usiri wa taarifa
-
Na.Hassan Silayo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa ametoa
wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya k...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment