Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.
TAARIFA KWA UMMA TATHMINI YA OPERESHENI YA SIKU KUMI KWA KIKOSI CHA USALAMA
BARABARANI
-
Mnamo tarehe 25/07/2025 hadi 04/08/2025 Jeshi la Polisi Kamisheni ya
Zanzibar kwa kushirikiana na Mamlaka ya usafiri na usalama
barabarani(ZARTSA) na Mam...
9 minutes ago
No comments:
Post a Comment