Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA SERA YA NISHATI YA ZANZIBAR GOLDEN TULIP MJINI UNGUJA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akipokea Vitabu vya Sera ya Nishati ya Zanzibar kutoka kwa Waziri  wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduara  katika hafla ya  Uzinduzi wa Sera hio uliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akiwa pamoja na Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduara wakionesha Vitabu vya Sera ya Nishati ya Zanzibar  katika hafla ya  Uzinduzi wa Sera hio uliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi  akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Zanzibar (ZECO) waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduara  akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika  Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Nishati na Madini Joseph Kilangi akizungumza katika  hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Muakilishi kutoka Benki ya Dunia Dr,Rhoda Jordan akitoa hotuba katika  hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip  Uwanja wa Ndege Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.11/09/2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.