Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Ibrahim Sanya akizungumza na kutowa maelezo wakati wa Utiaji wa Saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa jengo la ZURA Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-9-2025.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
7 hours ago
























0 Comments