Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Tiketi ya CCM, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika mkutano wake wa Kampeni uliyofanyika katika viwanja vya Nyarugusi Jimbo la Pangawe Zanzibar, akiomba kura na kuonersha picha yake katika karatasi nya mfano wa kura na kumuombea Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na kuwaombea Wagombea Ubunge,Uwakilishi na Udiwani wa CCM.
..........
No comments:
Post a Comment