Menu

Sunday, October 19, 2025

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Mpanda mkoani wa Katavi.

Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa mkutano wa Kampeni, Mpanda mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mpanda katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM, mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.



Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea Ubunge wa Majimbo mbalimbali mkoani Katavi mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mpanda tarehe 18 Oktoba, 2025.






 

No comments:

Post a Comment