Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa mkutano wa Kampeni, Mpanda mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mpanda katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi za CCM, mkoani Katavi tarehe 18 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea
Ubunge wa Majimbo mbalimbali mkoani Katavi mara baada ya kuwahutubia wananchi
wa Mpanda tarehe 18 Oktoba, 2025.
No comments:
Post a Comment