Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amefanya Uteuzi wa Wajumbe 8 Kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, walioteuliwa ni .

1. Mhe. Shariff Ali Shariff.

2.Mhe. Masoud Ali Mohammed.

3.Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum 

4.Mhe.Nadir Abdullatif Alwardy

5. Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa

6.Mhe.Tawfik Salim Turky

7. Mhe. Said Ali Juma

8.Mhe.Juma Malik Akil.

Uteuzi huo uliyofanyika tarehe 6 Novemba 2025. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.