6/recent/ticker-posts

WATOTO WA SKULI WAKIVUSHWA BARABARA.

ASKARI wa Usalama Barabarani akiwakatisha njia watoto wa Skuli ya Chekechea ya Kidutani wakitoka skuli kurudi nyumbani katika barabara ya Haile jana ili kuepusha usumbufu wanaoupata watoto kushindwa kuvuka barabara. 

Post a Comment

0 Comments