Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar Berryblack alikuwa Sweden katika mwendelezo wa ziara yake ya kimuziki katika nchi za ulaya na alikutana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mohammed Mwinyi Mzale alipokwenda kumtembelea
Mradi wa CookFund unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutekelezwa na
UNCDF waleta Mageuzi ya matumizi ya Nishati katika taasisi za umma.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Zaidi ya wanafunzi 62,000 kote Tanzania sasa wananufaika na majiko salama
na safi zaidi kufuatia usakinishaji wa zaidi ya majiko...
9 hours ago

0 Comments