6/recent/ticker-posts

DK SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA IRELAND, CUBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Bw Lorcam Fullam alipofika Ikulu leo kuonana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini Bw Emesto Gomez alipofika Ikulu leo kuonana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Bw Emesto Gomez alipofika Ikulu leo kuonana na Rais

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

Post a Comment

0 Comments