6/recent/ticker-posts

ENEO LA MAGOFU MARUHUBI LAHARIBIWA NA MOTO

MOTO uliowashwa katika  eneo la Magofu ya Maruhubi  unaotokana na kuchomwa moto takataka zinazotupwa eneo hilo la historia, ukiwa ni kero kwa  wapita njia wanaotumia barabara hiyo ya Maruhubi

Post a Comment

0 Comments