6/recent/ticker-posts

ISMAIL JUSSA KUWASILISHA HOJA BINAFSI BARAZA LA WAWAKILISHI


MUWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko zanzibar kuhusu kuwasilisha hoja yake binafsi anayokusudia kuiwakilisha katika mkutano wa baraza unaoendelea, kuhusu utaratibu wa uandaaji wa Katiba Mpya  ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. mkutano uliofanyika Afisi za  CUF Vuga. Kulia ni Salum Bimani.

Post a Comment

0 Comments