MIUNDOMINU ya Barabara Kisiwani Pemba inazidi kuimarika kwa ujenzi wake kama barabara hii ya Mtambile Kangani ikiwa imekamilika kwa kiasi cha asilimia 90 kumalizika kwake ikiwa ni moja ya barabara za Mkoa wa Kusini Pemba zinazojengwa.
WANANCHI WANA MATUMAINI MAKUBWA NA SERIKALI KUPITIA REA–MHANDISI SAIDY
-
Na Maandishi Wetu
MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi, Hassan
Saidy amesema Wananchi hususan wanaoishi vijijini wana matumain...
15 minutes ago
0 Comments