WATOTO wengi hujishughulisha na michezo mbali ya huku na huku, lakini siku hizi kumejitokeza mchezo wa kutafuta Vyuma vichakavu ili kuuza, kama mdao alivyowakuta watoto hawa wakiwa hawajali afya yao wakipekuwa katika moja ya jaa katika soko la Mwanakwerekwe wakitafuta vyuma vichakavu ili kuuza kwa kilo moja huuzwa shillingi 150/= , Wazazi inabidi kuchukuwa hatua za makusudi kuwaelimisha watoto wao madhara ya mchezo bila ya kuzingatia Elimu ni mkombozi wa Maisha yao. .
BoT YASHIRIKISHA WADAU MPANGO WA KUANZISHA KAMPUNI YA UDHAMINI WA MIKOPO
-
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikiongozwa na Naibu Gavana wa Sera za Uchumi
na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila, imefanya kikao na wadau mbalimbali
kujadilian...
24 minutes ago
0 Comments