RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein alipomuapisha Haroub Shaibu Mussa kuwa Katibu wa Rais
RAIS wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete alipomuapisha Fanual Mbonde kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais
Airtel Yazindua Mnara wa Mawasiliano Machimbo, Tabata
-
*Dar es Salaam*
KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua rasmi mnara wa mawasiliano wenye
teknolojia ya 4G na 5G katika mtaa wa Machimbo, Tabata, ikiwa ni se...
5 hours ago

6 Comments
Kuna mh mmoja ameketi kwenye kitit wakati wenzie wote wamesimama.
ReplyDeleteNaam hiyo ni moja, Nyengine...
ReplyDeleteNadhani kiprotokali hao kina Abdulhamid na huyo Salmin Amour (mwanafunzi wangu na mtoto wa Mwalimu Amour) hawakupaswa kukaa ubavuni kwa raisi. Hicho kiapo huyo jamaa hali mbele yao lakini mbele ya Raisi. Kwahiyo hiyo ya Kikwete ndio iko sawa. Jamaa anakula kiapo mbele ya Raisi na sio hao wasaidizi wake
ReplyDeleteSwadakta. Nadhani ujumbe utafika kama ni kughafilika na kama ni utaratibu basi uangaliwe tena.
ReplyDeleteShukran wadau kwa michango yenu.
Good observation.
ReplyDeleteduh 2ko nyuma kiasi hiki hatari kweli kweli rais hajijui hata majukumu yake sasa wakila rushwa wako sawa kwa sababu hawajala kiapo cha utii kwa dr shein maajabu kweli kweli
ReplyDelete