MTEMBEZA Watalii katika kisiwa cha Pemba akiwa na mtalii huyo akimtembeza katika maeneo ya kisiwa hicho na kujipatia bidhaa za asili ya kisiwa hicho ya Makawa ikiwa ni moja ya vivutio vya watalii katika Visiwa vya Zanzibar. Tour Guide akiwajibika pekupeku bila ya hata viatu Mzungu mtalii akiwa na makawa..
Wanafunzi 40 Mabalozi wa Utalii Watembelea Ngorongoro na Serengeti
-
Na Pamela Mollel,Babati
Wanafunzi 40 kutoka shule nne zilizopo ndani ya Hifadhi ya Jamii ya
Wanyamapori ya Burunge (Burunge WMA) wilayani Babati, mkoa wa M...
7 hours ago
0 Comments