Taarifa zilizotufikia sasa hivi ni kwamba Mbunge aliyepata ajali juzi Maalim Mussa Khamis Silima nae ametutoka Hospitali ya Muhimbili. Mipango ya kuusafirisha mwili kwa ajili ya mazishi inafanyika.Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Raaji'uun
Taarifa zilizotufikia sasa hivi ni kwamba Mbunge aliyepata ajali juzi Maalim Mussa Khamis Silima nae ametutoka Hospitali ya Muhimbili. Mipango ya kuusafirisha mwili kwa ajili ya mazishi inafanyika.
0 Comments