Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akiwasalimia watoto wa kijiji cha Piki wilaya ya Wete Pemba, mara baada ya kuwapa polewananchi wa Piki, Kisiwani na Mzambarau takao,waliofiliwa na jamaa zao katika meli ya Mv Spice Islander,hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja, ikiwa katika safari ya kisiwani Pemba. (Picha na Ramadhan Othman Pemba)
EWURA, WRBWB NA TFS WAPANDA MITI 5,000 KUADHIMISHA WIKI YA MAJI DUNIANI
MOROGORO
-
*Morogoro:*
*Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo imeongoza
kampeni ya kupanda miti mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya maadhimis...
7 minutes ago


1 Comments
Mkuu,
ReplyDeleteHii picha safi sana. Imenigusa sana. Watoto kweli ni maua. Ukiangalia sura zao zenye bashasha unahisi matatizo yote ya dunia yamepotea. Allah hakukosea aliposema watoto ni mapambo. Big up Mkuu!
Mdau
USA.