Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akiwasalimia watoto wa kijiji cha Piki wilaya ya Wete Pemba, mara baada ya kuwapa polewananchi wa Piki, Kisiwani na Mzambarau takao,waliofiliwa na jamaa zao katika meli ya Mv Spice Islander,hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja, ikiwa katika safari ya kisiwani Pemba. (Picha na Ramadhan Othman Pemba)
FURAHA YATANDA KWA KINAMAMA WA JAI BAADA YA RAMADHANI CHARITY PROGRAM KUTOA
IFTAR
-
Furaha imetanda kwa kinamama wa taasisi ya JAI baada ya kupokea sadaka ya
Iftar kutoka kwa taasisi ya Ramadhani Charity Program 2026, ikiwa ni sehemu
ya ...
45 minutes ago


1 Comments
Mkuu,
ReplyDeleteHii picha safi sana. Imenigusa sana. Watoto kweli ni maua. Ukiangalia sura zao zenye bashasha unahisi matatizo yote ya dunia yamepotea. Allah hakukosea aliposema watoto ni mapambo. Big up Mkuu!
Mdau
USA.