Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhi zawadi ya mlango kwa Katibu Mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh, Sutirtha Battacharya mara baada ya kufanya mazungumzo naye huko Hyderabad, India
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akitoa ufafanuzi kuhusu Zanzibar mbele ya Katibu Mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh, Sutirtha Battacharya. Katikati ni Waziri wa Biashara, Nassor Ahmed Mazrui.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments